Monday, October 22, 2012

PICHA ZA WASANII WA KIPINDI CHA VITUKO SHOW WAKISHUTI KIPINDI CHAO LEO ASUBUI















erick na wengine

 maeneo ya kwamichi hapa jijini tanga leo hasubui
wakiendelea na mchakato huwo nakupiga nao stori kidogo
kama ilivyokua swaga za mmoja wa wasanii hao ambae
kila akiongea ana nakshia na staili yake hio pia alikuepo
mkali mwengine Erick sauti ya garama iliomshinda babu
Ayoubu nahata akiiweza itakua haina kwaaliti maneno
yake Erick akipiga stori na mwandishi wetu

Wasanii hao kwa sasa wameweka kambi hapa jijini tanga
maeneo ya Sahare wakifanya shuhuli zao zote katika
maeneo tofauti tofauti ya jiji hili kwa sasa wasanii hao
wanaongozwa na msanii nguli katika tasnia ya
uchekeshaji hapa nchini Tanzania Mee Jangala alipouli
zwa swali lakizushi mzee jangala ni changamoto gani
unakutana nazo haswa mtu mzima kama wewe kufanya
kazi na vijana ? Mzee jangala alijibu kama ifuatavyo
changamoto zipo lakini nakabiliana nazo kwanza nashukuru
vijana nilionao ni waelewa na wana niheshimu kwaivyo
inakua rahisi kwangu mimi
kufanyanao kazi kama hivi unavyoona mjukuu wangu,alimaliza hivyo mzee jangala uku akitumia ile lafudhi 
yake
anayoitumia anapokua kazini Wasanii hao wanaofanya kazi
na kampuni maarufu hapa nchini ya ALL-RIYAMY PRODUCTION
Na vipindi vyao kurushwa hewani kila siku ya All-hamisi 20:30 pm
kupitia Chanel ten na kipindi chao kujizolea mashabiki wengi
hapa nchini wamejigamba kuwa wao niwakali zaidi ya wengine
kwasababu mbali na uchekeshaji pia wanafanya muziki pamoja
na matangazo ya biashara katika Terevision na Radio station
kwaio kaka sisi ni wakali zaidi yao alimalizia kusema hivyo jamaa
anae igiza kama Mmasai a.k.a Masai nyotambofu ambae kwa sasa anasumbua na ngoma yake inayokwenda kwa jina la
Kirungu na mukuki alio ifanyia nchini ZAMBIA








No comments:

Post a Comment