Tuesday, January 8, 2013

DOMINICKY KUACHIA NGOMA MPYA HIVI KARIBUNI

                                 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayekuja juu, kwa sasa anajiandaa kuachia ngoma yake ambayo ipo katika muundo wa kwaito.Dogo huyu ameshafanya ngoma moja ambayo ni gospal lakini haikuvuma kutokana na kukosa support ya kutosha.
 Nilipata wasaa wa kuzungumza nae lakini anachokiomba ni support coz mpa leo hii hajafanikiwa kupata maneger. ''Ebwana mimi mpaka muda huu,sijafanikiwa kupata maneger ambaye atakuwa akisimamia kazi zangu na kunipeleka studio,na mimi ni niko radhi kwa mkataba wowote ambao nitaingia na mtu atakaejitokeza.''
                                 
   Dominicky ambaye kwa mujibu wake ana nyimbo ambazo ni mordan style ambazo anaamini akiziachia,zitakuja kutingisha..''mpaka sasa nimeshatunga nyimbo kama (MAPENZI NI NOMA,USINGIZI,MASIKINI SINA SAUTI,MAPENZI KITENDAWILI na nyingine nyingi''

No comments:

Post a Comment