Saturday, September 28, 2013

NELSON MUNYI KUSAMBAZA TUTAFIKA

"kaza mwendooo bado kitambo kidogo tutafika, kaza mwendooo bado kitambo kidogo tutafika"
hap namzungumzia Muimbaji wa nyimbo za injili anayefahamika kwa jina la Nelson Munyi anayetamba na nyimbo
kama nitazamapo na tutafika ameamua kuachia album yake ya kwanza aliyoipa jina ya tutafika
ambayoina nyimbo nane ambazo zipo katika mfumo wa vcd.
Nelson amesema kuwa album yake anaisambaza yeye mwenyewe hivyo amewaomba wamiliki
wa maduka ya cd za jumla na rejareja wawasiliane naye kwa kupata kazi hizo kwa bei yashilingi elfu mbili na mia tano kwa jumla (2500) tu.
muonekano wa cover la dvd ya tutafika
pia unaweza kupata dvd hii kwa mmiliki wa blog hii ambaye si mwingine bali ni Gazuko piga simu namba 0657985598 tukuletee hadi dukani kwako pande zote za jiji la Dar es salam na mikoani pia

No comments:

Post a Comment