Wednesday, October 16, 2013

WAKAZI WA MBEYA MPO TAYARI !?????????????

                                                  Happy Kamili akiwa katika pozi

Kama wewe ni mkazi wa jiji la mbeya na vitongoji vyake  au ikatokea kuwepo ndani ya jiji hilo siku ya jumapili ya 3/11/2013 basi chukua habari kamili zinzoleta happy,
usikose ndani ya ukumbi wa paradise hotel uliopo soweto jijini mbeya ndipo mahali ambapo watu wote muishio mbeya na vitongoji vyake mnaombwa kukusanyika kuanzia saa 7 mchana kwa ajili ya uzinduzi wa album ya tatu inayokwenda kwa jina la msemaji wa mwisho ni Mungu iliyoimbwa na Muimbaji wa nyimbo za injili anayefahamika kwa jina la Happy Kamili ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa mpango wa Mungu,
huku akisindikizwa na waimbaji kama vile

                                                            Ambele Chapanyota

                                                               Emanuel mgogo

                                                                Martha Baraka
Na wengine wengi mno kama vile Aman Mwasote,Debora mwaisabila........njoo tujumuike pamoja kwa kiingilio cha shilingi 5000 kwa mkubwa na shilingi 1000 kwa mtoo......watu wote mnakaribishwa
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NAMBA 0754625438

No comments:

Post a Comment